Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
Wivu wa kiume ukoje? Nani huyo mwene wivu wa kike?Wivu wa kike ! Abdulhalim
Mkuu unaongelea joyce mukya au paleso?Ndio mwenyewe,wamesababisha mpaka huyo binti akaachwa na mumewe, hawa jamaa firauni sana!!
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo
Mchepuko time baby!😛eep:
Mkuu hapa ni upuuzi tu mada zingine za kipuuzi tu.Hivi hapa hoja ni nini?
Nakuunga mkono mkuu.Kama huna data kaa kimya mkuu, si vyema kurukia kila jambo.
wakati mwingine ficha ujinga wako
baada ya gadafi kung'olewa mbabe aliyebaki Africa ni JK tu, ukitaka utawala wako ukome tibuana nae.
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo
Huyu Dr Kikwete lazima saizi anapanga safari ya mbinguni maana dunia nzima kaichafua
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo
Majanga yaani jk akili yote ipo kwa demu halafu mkono upo kwa jamaa hizi dharau hizi duuuuu