englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hajafanya kosa lolote ila anaomba kei huyo. Katika maisha kama huna ngawira lazima upige goti uombe keiMbona jamaa hayupo serious kama anacheka?Hasamehewi mtu...
okey...Hajafanya kosa lolote ila anaomba kei huyo. Katika maisha kama huna ngawira lazima upige goti uombe kei
Kumbee ehh nami nitaanza kupigisha watu magoti siku hizi...mimi49, huyo haombi msamaha, ni house boy anamendea mtoto wa boss wake, lazima ajichekeshe ili afikiriwe
Kumbee ehh nami nitaanza kupigisha watu magoti siku hizi...