Chezea Abedi, ..utadedi!

This is really really gud stuff!!!! Woooowwww!!!!

Unajua objective ya maandishi siku zote ni kuvuta wasomaji wajione wako kama eneo la tukio, yani mi nilikuwa namuona Muddy live..lol
Halafu Abedi naweza hata kumdescribe alivyo alivyo!!! Pia bila hata kuniambia naweza kukutajia kitaani kwenu ni wapi, umeuvaa uhusika kisawasawa.... man this is precious. I enjoyed it, cant wait kuona kazi Abedi atakovoimaliza...usipotee sasa....ntakasirika!! :)
 
Back
Top Bottom