Cheza mbali na IT HACKERS wa N/KOREA.

ningekua najua ku hack...wangekoma bank na kna bashte...tatzo nna degree ya mapishi...hata hao walioxoma IT wanashndwa ku hack ata cm zao wenyewe.....maana chuoni maswali yao ni list...define..na list....too bad
Kwanza ujue tofauti ya course zao Na zetu.Wakati sisi tunakomaa Na karibia kila course wao hizo course ndo degree.MF. hapa IT atasoma Database,Networking, O.S,Computer Architecture, graphics n.k wenzetu hizo no degree zinazojitegemea tens kwa miaka 4 .Unafikiri mtalingana baada ya kumaliza chuo?
 
sure..lazma watuache axeee
 
hawa jamaa ndio mnahangaika nao kuwawekea vikwazo wakati wanaiba pesa kibao kwa ajili ya kuendeshea nchi yao mweeee
 
Back
Top Bottom