Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,824
wewe wasema!Unamaanisha "ngome"![]()
wewe wasema!Unamaanisha "ngome"![]()
.....tena million times, maana mmmhGod forbid
Daaah yani unaposikia mataifa ya wenzetu wanafanya vitu vikubwa sisi huku tupo bize kuhack simu za wapenzi wetu.Mungu atusahidie kwakwelikwa kutegemea elimu ya kukariri necta...degree za udom na udsm ndio tu hack bank ya dunia na makampuni makubwa kama reserve bank ya marekani
Vyuoni watu wametarget kupata GPA zitakazo warahishia kupata kazi faster,wabongo bhanaMkuu [HASHTAG]#stonecold316[/HASHTAG] huku Bongo bado sana maana hata walimu wa vyuo vikuu hawafundishi mtu kujifunza bali kuelewa anachoelewa mwalimu wake, ole wako uje na wazo tofauti na jinsi alivyokariri atakulima mkasi au kukufelisha course, kupata IT Wabunifu bado sana ila tulionao ni Wasomaji wa IT.
Hata mimi nilishangaa...wanashindwa kuhack jf mpaka wanapeleka mahakamani kulazimisha wapewe details
Naamini ipo, maana waligongana huko hewani na wale wa lowassa wakati wa kukusanya kura, mwenye dola akaonekana ana haki zaidi...Ivi tanzania tuna cyber army kweli??

kazi ngapi zinatolewa kwa GPA hapa bongo?Vyuoni watu wametarget kupata GPA zitakazo warahishia kupata kazi faster,wabongo bhana
Sisi bado tunahangaika na Viazi tuuu.
Nimepata moja kuhusu Mazoezi yalofanywa na Urusi na Belarus mwezi ulopita (ZAPAD 2017 OR WEST 2017).
inavyosemekana ,, wakat mazoez hayo yakiendelea Nchi za Norway ,Lativia zilikumbwa na Tatizo LA kukatika kwa huduma ya internet!!..... Inavyosemekana Russia ndo ilikua ikijaribisha mifumo yake ya cyber war !!.
ningekua najua ku hack...wangekoma bank na kna bashte...tatzo nna degree ya mapishi...hata hao walioxoma IT wanashndwa ku hack ata cm zao wenyewe.....maana chuoni maswali yao ni list...define..na list....too bad
duuh...atar xanaaa..ivoivo kimakinikia tutafikaNdugu uli uweze kuhack ni lazima huko unako hack mifumo yao ya computer na It iwe ya kutosha kwa bongo hatuko intergrated kivile. so kifupi hakuna cha kuhack labda uhack website zao tu.
Inatakiwa wakomae wadukue mfumo wa Makombora ya nyuklia yaliyoko jijini maseille sijui nimepatia spering pale Ufaransa wayadukue yalipuke kuelekea Saudi Arabia Kuwait Bahrain na Ulaya yawateketeze wenyewe tu

Hatari MkuuSisi bado tunahangaika na Viazi tuuu.
Nimepata moja kuhusu Mazoezi yalofanywa na Urusi na Belarus mwezi ulopita (ZAPAD 2017 OR WEST 2017).
inavyosemekana ,, wakat mazoez hayo yakiendelea Nchi za Norway ,Lativia zilikumbwa na Tatizo LA kukatika kwa huduma ya internet!!..... Inavyosemekana Russia ndo ilikua ikijaribisha mifumo yake ya cyber war !!.