KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
Issue ya mgomo wa madaktari itaicost chadema kuipotezea umaarufu kwa wananchi,ni vyema sasa wakajiweka nao kando na kusonga mbele
Mbunge wa Bariadi na Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameshambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM bungeni jioni hii kwamba kinachochea mgomo wa madaktari nchini na kinapaswa kuacha mara moja.
Cheyo pia ametumia muda mwingi kusifu hotuba ya Rais aliyotoa kuhusu madaktari na akaomba wananchi wote wamuunge mkono Rais kwa hotuba yake nzuri.
Kwa maneno yake hayo ya leo Cheyo anaungana na wabunge wa CCM na CUF kushambulia CDM bungeni huku wakiihami Serikali.
ili waende vijana wakafanye upuuzi kama wanaoufanya baadhi yao bungeni?sasa unategemea cheyo atetee upinzani? Akikosea tu ubunge hana.
Vijana jitayarisheni kuwaondoa wazee waliozidi miaka sitini na tano wapumzike jamani. Zile siasa za mwalimu za mwaka 47 za kudanganyana zimepitwa na wakati. Vijana tafakani ndio wakati wenu mchukue hatua, shauri yenu mtakuja kulaumiwa.............