R100
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 337
- 81
- Thread starter
- #21
Yani mama yangu ndiye aliye fatilia kipindi hicho nikiwa primary bila kuniambia halafu angeniambiaga ningetumia jina lile alilotumia yeye kwa sababu yeye alitumia la babu mimi nilitumia la ukoo ndipo utofauti ulipo hapo cheti cha kuzaliwa kina jina la babu lkn cheti cha form 4 kina jina la ukooIlikuwaje hadi vitofautiane?