Cheti cha form 4

Cheti cha form 4

Cheri cha form na hata form six unachukulia shulemi kwako ulikosoma na hakuna malipo Labda kama aliacha deni shule
Shuleni vinakaa kwa muda gani?

Kwani haufiki muda vyeti vinarudishaa necta?

Vikirudi bado atachukua bure?

Huyo dogo aeleze scenario nzima
 
Shuleni vinakaa kwa muda gani?

Kwani haufiki muda vyeti vinarudishaa necta?

Vikirudi bado atachukua bure?

Huyo dogo aeleze scenario nzima
Hakuna kesi hapa we mwanamke mwalimu! Ji just nimeuliza kujua! Acha kupayuka payuka!
 
We mwalimu kilaza mbona unapanic sana? Umasikini umekupanda kichwani au? Upepo gani najazwa? Kuuliza jambo ni kosa kisheria we mjinga?
Umenitukana sana bila sababu.

Mimi siyo mwalimu. Nipo idara ya afya tamisemi ila siyo daktari wala muuguzi.

Mimi siyo kilaza. Nimefika chuo level ya degree.

Kuuliza jambo siyo kosa kisheria.

Mimi siyo mjinga. Vyeti vyangu vya o level na a level mtia saini ni Ndalichako.
 
Hbr waungwana!
Kuna bwana mdogo yupo hapo Tz, anatakiwa afuatilie cheti cha Form 4,amemaliza mwaka Jana, ananiambia sijui wanalipia Elfu ISHIRINI! Je wanalipia wapi ili kukipata?ni malipo halali ya kisheria yenye risiti za serikali au ?
Hayo siyo malipo halali,labda kama alipoteza kitabu cha shule anadaiwa anashindwa kukuambia ukweli.
 
Shuleni vinakaa kwa muda gani?

Kwani haufiki muda vyeti vinarudishaa necta?

Vikirudi bado atachukua bure?

Huyo dogo aeleze scenario nzima
Huwa havirudishwi nectar,mwaka 2017 nilikuwa na Kazi pale Minaki ss,mtaaluma alikuwa rafiki yangu kuna MTU alikuja kuchukua Cheri chake na alimaliza pale miaka ya mwishoni mwa themanini.Pili wakili Emmanuel Muga alifuata Cheri chake Lindi sekondari 2018 na alimaliza form six 1997
 
Sawasawa
 
Back
Top Bottom