Cheslea vs Liverpool at the Stanfford Bridge

dogo ni wewe,usiite wanaume wenzio madogo,hata kule tunaongelea soka....na tukija huku hatunyimwi kuongea lolote.....wala sheria za JF hazijavunjwa,umeelewa dogo??:laugh::laugh::laugh:
sorry michelle, sikujua wewe ni mwanaume...

kuna angalizo lilitolewa kuhusu diversion (intentional) ya mada haiwi encouraged

Na wewe ni dogo tu, bahati nzuri sana sina muda wa kubishana na rookies
 
Hahahaaaaaaaa... fifty million quids with lots of bollocks from his mouth now subbed like a sissy or bender:popcorn:
 
goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
we dont need fifty million quids bender, hahahahaaaaaaaaaaa

he should have stayed with the real club
 
sorry michelle, sikujua wewe ni mwanaume...

kuna angalizo lilitolewa kuhusu diversion (intentional) ya mada haiwi encouraged

Na wewe ni dogo tu, bahati nzuri sana sina muda wa kubishana na rookies

get a life....let rookies be!!!
mi pia sina muda wa kubishana na watu ka wewe:A S thumbs_down:
 
Mambo hayo! garasa limetolewa baada ya dakika 64 tu! Naona bado mnasumbuliwa na Malaria sugu poleni sana wakuu.
 
heheh milion hamsini nje.... Sasa suarez aje alafu afunge lol....
 
Back
Top Bottom