Cheslea vs Liverpool at the Stanfford Bridge

half hour, nothing to report... redundant goalkeepers... maneno ya ekoku
 
shoot maxi with a rubber bullet to stop the leaking a$$
 
wapigane basi tuone red kadi za wao kwa wao
 
Mkuu unaangalia mpira upi?

Nilizungumzia specific move,nikiangalia mpira siangalii mchezaji mwenye mpira tu bali naangalia na movement za wachezaji wengine wanaokuwa kwenye nafasi nzuri ya kupokea pasi.

Kwahio pale ni kwamba kuna mtu alikuwa kwenye full speed kushoto kama angeingiziwa mpira alikuwa kwenye nafasi nzuri sana ya kufanya shambulizi.

mambo ya arsenal kwenye swala la kusoma pasi iende wapi si unajua lool.
 
Rev Masa ni mchokozi....you do not have to defend yourself....ataishia kukuchanganya kama mimi jana.....lol
 
Back
Top Bottom