Cheri coco- Mavazi haya ni Aibu.

Cheri coco- Mavazi haya ni Aibu.

Status
Not open for further replies.
Yaani atoke huko kwO, asiambiwe na bwanaake, mamaake, babaake, dada zake, binamu zake! Nije nikamuambie mie? Cha kununiwa na kukosa kuitwa kwenye mishkaki (japo akitokea na hicho kuvazi namuambia nimeanzwa tumbo la wakubwa na mafuriko sitoki tena)
Huyo bonge wenzie hawampend, hata kumwambia
 
Huyu ndo nani asee....
Hapo kati pamekaa kama ta.ko la tembo!
 
yupo gym gani huyo? Naona watu wa kuwapeleka olympic wamejaa kibao sijui kwa nini hatuwapeleki. Kilo 200 huyo anabeba
 
Wadada jamani naombeni majibu huyu ''HOW DO YOU FEEL WHEN YOU LOOK LIKE THIS LADY AND DRESS THE WAY SHE DRESSED IN HER BDAY PARTY?) ?
 
Hilo dude la kati ndiyo mapigo yangu,nayapendaga sana madude ya hivyo,na siyo siri ni matamu sana!
 
Hilo dude la kati ndiyo mapigo yangu,nayapendaga sana madude ya hivyo,na siyo siri ni matamu sana!

Hii comment ni ya kule Bondeni najua umejisahau. Ulidhani upo kule chini uongo?
 
IMG_0066.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom