sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Jamani kwanini yeye apitwe na fashion, unene hakuomba ni kilema.
Kwani mlemavu hana haki TZ?
Niulizie kwa hawa wanaomnanga mtoto wa watu..! Alichonifurahisha huyu binti ni kujikubali alivyo.. Najua wengi wanapata shida kutoka out wakiwa kwenye hali kama hiyo.. Au kuvaa aina fulani za nguo kwa kuogopa kuchekwa.. Wapo wanaojifungia ndani kabisa..