technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,648
- 58,453
Mbona povu kiongozi, umeelewa mada lakini?Sasa hapo Mungu anahusikaje?
Ccm itaendelea kutawala hii nchi hata miaka 100 ijayo maana ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.
Sasa hapo Mungu anahusikaje?
Ccm itaendelea kutawala hii nchi hata miaka 100 ijayo maana ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.
Umenikumbusha mbali mkuuTulianza na Mungu na tutamaliza Mungu.
Wapi nimeitaja ccm? Mimi nimeongelea watawala wa miaka 2, 3 tu nyumaSasa hapo Mungu anahusikaje?
Ccm itaendelea kutawala hii nchi hata miaka 100 ijayo maana ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.
We hujui kuwa akina Chissano walisota hapa bongoChalamila sio mtu wa kuchapa watoto wa watu viboko na kuwatisha wazazi wao.
Kelele za Mambosasa na Mruto hazipo tena..
Utakuwepo miaka 100 ijayoSasa hapo Mungu anahusikaje?
Ccm itaendelea kutawala hii nchi hata miaka 100 ijayo maana ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.
Mimi mpaka sasa hivi nahisi ndo nimekufa...[emoji16][emoji16][emoji16]Leo Magufuli hayupo
Makonda sio tena mtu wa kuogopwa na mtu kama PM na Siro...
Magufuli alikuwa MUNGU WAO hakuwahi kuamini kuwa ni BinadamuLeo Magufuli hayupo
Makonda sio tena mtu wa kuogopwa na mtu kama PM na Siro...
... kuku wana afadhali maana wanaingia bandani giza likianza. Gerezani wanaingia ndani jua linawaka around tisa/kumi sio zaidi ya hapo....
Mabavu ya sabaya leo ananyea ndoo na kulala saa 12 kama kuku gerezani.
...