Cheo ni dhamana, tuwe na busara

Cheo ni dhamana, tuwe na busara

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,563
Reaction score
57,888
Leo Magufuli hayupo

Makonda sio tena mtu wa kuogopwa na mtu kama PM na Siro.

Chalamila sio mtu wa kuchapa watoto wa watu viboko na kuwatisha wazazi wao.

Kelele za Mambosasa na Mruto hazipo tena.

Mabavu ya Sabaya leo ananyea ndoo na kulala saa 12 kama kuku gerezani.

Dunia uwanja wa Fujo lakini ardhi ya Mwenyezi Mungu tuikanyage kwa tahadhari sana.

Mungu atabaki kuwa fundi wa mafundi wote duniani.
 
Ya Mungu fundi Sana ila ,tunajisahau sana, na bado ataonyesha UFUNDI Mara dufu labda watubu ,asema BWANA

Mwigulu na waziri wa fedha take care mazalau YAKO KWA wanananchi ,utavuna upandacho, Urais hupati ,uwaziri mkuu hupati, naona roho YAKO ikiangaka, hakuna limshindalo mungu, asema BWANA,usipo kua makin ,mungu asema laja utasaga meno, mazalau YAKO KWA wananchi yamezidi Sana,

Machozi na dam yapo juu YAKO, pitia KWA wananchi hutobaki salama Kama nawe hutotubu
Thanks
 
Mwaka 2009 , naenda nyumbani kwa baba mdogo ( ni nyumba ya baba mzazi wangu ambaye sasa ni marehemu na yeye baba mdogo pia ana share) nafukuzwa getini na kuitiwa polisi ya kwamba nasumbua, wakati nilikuwa na shida ya sh laki sita anisaidie baba mdogo ,mwanangu alikuwa mngojwa sana hakunisaidia na aliita polisi.

Sasa ni miezi imepita nyumba hiyo naimiliki kwa kuinunua toka kwake pamoja ns ofisi zake na magari yake, juzi kaja kaishia getini nilikuwa sipo nyumbani kaacha ujumbe anaumwa hanipati kwenye simu, anashida ya laki sita, leo nimemrushia sijarudisha ubaya lakini jamani Mungu mwache aitwe Mungu.

Haya maisha haya yanaweza badilika kwa sekunde, tumcheni Mungu.
 
Back
Top Bottom