Ushauri wako sahihi haukuhitaji akili kubwa kuufanya, hata mtu mwenye akili ya kati tu angefanya hivyo na kuepuka MAJUTO YA KUITWA MWUAJI MBINGUNI NA DUNIANI. Kikwete aliwahi kusema "zakuambiwa changanya na zako" asijue kuwa mwenzake ANAYEMWAMBIA agombee uraisi 2025 kwa sababu ni maarufu kuliko wote HANA ZAKE ZA KUCHANGANYA.