AK-47 JF-Expert Member Nov 12, 2009 1,373 199 Sep 20, 2011 #21 Kama kukata utepe ni jukumu zito la kitaifa....Mafundi nguo wanaokata majora itakuaje ?
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Sep 21, 2011 #22 kazi yake ni kusubiri rais afe,achukue urais na kupokea wageni wakati raisi hayupo
Ndechumia JF-Expert Member Jul 15, 2011 1,103 420 Sep 21, 2011 #24 Jamaa kamaliza Phd specialized kwenye Nuclear physics