Ndugu zangu , mimi nijuavyo cheo cha Urais kwenye nchi yeyote ile ni cheo ambacho ni kikubwa na linapokuja suala la utendaji, yeye anakuwa mshauri mkuu. Ni mshauri mkuu ambaye naye pia anakuwa na washauri wake. Sasa , ninapata shida sana na ninaomba mnisaidia Rais anafanyaje maamuzi, hasa ukizingatia ni suala pana la kitaifa.
Kwa wale mliwahi kuwa karibu na Rais yeyote yule katika kufanya maamuzi, anakuwa na kiwango gani au ushawishi kiasi gani katika kuagiza utekelezaji wa jambo fulani. Kwa mfano, ikitokea jambo analoliamua ni kinyume na maslahi mapana ya kitaifa, anaweza kuambia mheshimiwa hapa si sahihi.
Rais pia anatumikia Wanannchi katika janja mbalimbali, kisiasa, kiuchumi, na hata kijamii. nini kinampa nguvu ya kuagiza jambo fulani lifanyike hata kama linakataliwa na taasisi husika?
Naombeni ndugu zangu mnielimishe kidogo niweze kufahamu hii taasisi muhimu nyeti duniani. Najitahidi pia ninunue Kitabu cha yeriko Nyerere, huenda ikanifungua zaidi.
Kwanini Rais anyoonyeshewe kidole peke yake?
Ni kama kocha wa team ya Soka,team ikishinda inasifiwa team nzima,ila team ikishindwa analaumiwa Kocha.Mambo yakienda vizuri kwenye nchi sifa zinaenda kwa rais, na yakienda vibaya akubali lawana pia, wa kunyooshewa kidole ni yeye.
Kwa nijuavyo anashirikiana na viongozi wengine kama vile Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, Mkuu wa majeshi, IGP, mawaziri pamoja na maktibu wote wakuu wa wizara mbalimbali akiongozwa na katibu mkuu kiongozi. Pia wapo washauri wengine zaidi pengine nisiyewajua miye.Kwani huyu anashirikiana na kushirikiana na nani?
Ukinijibu ntakwambia
Hatajiki mkuu, lkn ni yule mwenye nguvu zote na aliye juu ya sheriaKwani huyu anashirikiana na kushirikiana na nani?
Ukinijibu ntakwambia
Hao wote wanaamrishwa alisema hapangiwiiKwa nijuavyo anashirikiana na viongozi wengine kama vile Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, Mkuu wa majeshi, IGP, mawaziri pamoja na maktibu wote wakuu wa wizara mbalimbali akiongozwa na katibu mkuu kiongozi. Pia wapo washauri wengine zaidi pengine nisiyewajua miye.
Ni jangaHatajiki mkuu, lkn ni yule mwenye nguvu zote na aliye juu ya sheria
MakondaKwani huyu anashirikiana na kushirikiana na nani?
Ukinijibu ntakwambia
Hiyo no 2 mkuu umeuaMakonda
ziro
mabeyoo