Cheo cha Urais ni taasisi, Kwanini anyooshewe yeye tu kidole?

engijape

Senior Member
Nov 8, 2014
178
97
Ndugu zangu , mimi nijuavyo cheo cha Urais kwenye nchi yeyote ile ni cheo ambacho ni kikubwa na linapokuja suala la utendaji, yeye anakuwa mshauri mkuu. Ni mshauri mkuu ambaye naye pia anakuwa na washauri wake. Sasa , ninapata shida sana na ninaomba mnisaidia Rais anafanyaje maamuzi, hasa ukizingatia ni suala pana la kitaifa.

Kwa wale mliwahi kuwa karibu na Rais yeyote yule katika kufanya maamuzi, anakuwa na kiwango gani au ushawishi kiasi gani katika kuagiza utekelezaji wa jambo fulani. Kwa mfano, ikitokea jambo analoliamua ni kinyume na maslahi mapana ya kitaifa, anaweza kuambia mheshimiwa hapa si sahihi.

Rais pia anatumikia Wanannchi katika janja mbalimbali, kisiasa, kiuchumi, na hata kijamii. nini kinampa nguvu ya kuagiza jambo fulani lifanyike hata kama linakataliwa na taasisi husika?

Naombeni ndugu zangu mnielimishe kidogo niweze kufahamu hii taasisi muhimu nyeti duniani. Najitahidi pia ninunue Kitabu cha yeriko Nyerere, huenda ikanifungua zaidi.

Kwanini Rais anyoonyeshewe kidole peke yake?
 
Hata UKIMWI huwa unasababishwa na ' Kiungo Korofi ' kidogo sana ila unaokuja ' Kuathirika ' baadae ni Mwili mzima.
 
Tatizo Rais wetu ni mtemi huwa haambiliki ndio yaani kila kitu anajua yeye iwe ni jambo la kitaalamu kisiasa yaani kila kitu anajua yeye sasa huyo rais matatizo
 
Vidole vinamuhusu, kwasababu alishasema HAPANGIWI na ASISHAURIWE
 
Urais ni taasisi huko duniani, siyo Afrika tena Tanzania. Tanzania urais ni umungu mtu
 
Kwani huyu anashirikiana na kushirikiana na nani?
Ukinijibu ntakwambia
Kwa nijuavyo anashirikiana na viongozi wengine kama vile Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, Mkuu wa majeshi, IGP, mawaziri pamoja na maktibu wote wakuu wa wizara mbalimbali akiongozwa na katibu mkuu kiongozi. Pia wapo washauri wengine zaidi pengine nisiyewajua miye.
 
Hao wote wanaamrishwa alisema hapangiwii
 
Hatari sana watu hatujui kesho atatamka nini, nchi haiendeshwi kwa kufuata sheria na katiba ya nchi, hatujui kesho ataambiwa nini
 
Si kweli wajinga wote wanaofanya ujinga wanapokea maelekezo ya kijinga so kuwakemea wao haitasaidia
 
Urais ni taasisi kwa nchi za wanaojielewa hapa kwetu uraisi ni one man show kwa hiyo kidole lazima tumnyoshee yeye
 
@_Ndiye anayetoka hadharani kuongea na sisi,
@_Ndiye ambaye sisi tulimwandika kazi, kama kuna mwingine anamjua yeye. Sisi hatumjui.
@_Ndiye ambaye sisi tuna mkataba naye. Yeye kama Ana watu wake anawajua yeye. Siisi hatuwatambui.
@_kama kuna wengine yeye ndiye anawajua. Wapo kwake. Anajua alipowatoa na anajua atakapowapeleka. Tukinwambia tunataka nyumba yetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom