Chenge,Werema: Tume imedanganya kiasi kilichopo kwenye mchanga, wajivua lawama

Hakika hii Nchi inalaana haiwezekani kila siku bungeni wabunge wanalalama kuhusu madini yanavyotoroshwa na makampuni ya uchimbaji

Leo Raisi kayakamata yasiende kwanza huko ughaibuni hadi pale tutakapojilizisha walewale viongozi waliokuwa wanapiga kelele bungeni wamegeuka na kudai hayo makampuni ni hali yao.

Hili taifa linalaana haiwezekani
 
Asante sana kwa kunielemisha na maombi. Ninachokozungumuza kuhusu cancer ni magonjwa yametokea ikiwa hata jamaa zangu yamewapata hii siyo hadithi, ila kama nilivyosema hapo mwanzo wanaopata haya maafa ni wanyonge sauti zao hazisikiki. Mimi na wewe mpaka kuwa na uwezo wa kutumia mitandao hali zetu za kimaisha sio mbaya hatuyaoni maovu yao kwa hiyo kusema ni hadithi za waswahili sio ajabu. Mimi pia nimezunguka duniani na hawa watu nawaekewa sana. Sio wote wabaya, kati yao wako na sisi kututetea.

. Kitu kimoja namushukuru MUNGU ametupa Rais ambaye hana ugonjwa tulionao sisi wa Africa, Na kama alikuwa nao, basi MUNGU kamutibu ili agombanie haki, sio za Tanzania tu bali za Afrika nzima. Nasema tena Wazungu hawa ni wezi dunia nzima inajuwa ila wewe pekee. Mimi nataka kukuelimisha wewe kuwa ninayokuambia wewe ni ya ukweli hata ACACIA inajuwa inatudanganya. Hawa watu wanafanikiwa kutudanganya kwa kuwa watu wenye mawazo kama yako ni wengi, ikiwa pamoja na Viongozi wetu. Kwa kifupi tunaogopa wazungu na tunamini hawasemi uwongo, hayo ni mawazo ya kikoloni. . Sasa nmecopy report ambazo naomba usome. Na kama wewe uko Tanzania Tembelea ocean road Hospital uulize report za cancer watu waliopo karibu na migodi. Kwanza wengi hawafiki hata hospitali kwa kuamini wanelogwa.

Nashukuru sana hatuwa aliyoichukua `Rais Magufuli, ni mwanaume wa kweli kweli kusimama. Hata kama wakitumia pesa zao na influence zao watushinde sawa lakini Huu ndiyo itakuwa mwanzo wa vita. Dunia Sasa iko wazi. Penye uwongo ukweli utajitenga. Ubalikiwe sana na MUNGU akufunguwe Macho uone usiyoyaona. Asante.


The Multinational companies’ practices in Tanzania, particularly in the mining sector have opted to experience economic fortune in isolation from the consequences of its actions. This is not acceptable from sustainable development perspective. There are a number of such researches carried out in Australia, Mozambique, South Africa, Namibia and even in Tanzania, both by government and private sector, especially by anti- mining activists. Most of the studies that were published had either indicated an immense pollution of environment as a result of the mining activities (Bitala et al. 2009) or non-compliance of CSR to the community (Kasumuni, 2003; Mcnamara, 2013; Otusanya & Lauwo, 2014)

Multinational corporations in the world’s richest countries are fleecing Africa for nearly $6 billion (18 trillion Shillings) a year, through one of the tricks used to reduce tax bills, a new report, ‘Africa: Rising for the few,’ released by Oxfam today shows.

The companies use a dodge called mispricing – where they artificially set prices for goods or services sold between its subsidiaries to avoid taxation. The companies also lobby hard for tax breaks as a reward for basing or retaining their business in African countries.

Tax breaks provided to the six largest foreign mining companies in Sierra Leone add up to 59 percent of the total budget of the country or eight times the country’s health budget.

The report observes that in 2010 multinational companies avoided paying tax on USD 40 billion (120 trillion Shillings) of income through a practice called trade mispricing –With corporate tax rates averaging out at 28 percent in Africa, this equates to USD11 billion (33 trillion) in lost tax revenues.

The study shows that the money avoided in tax is equivalent to six times the amount needed to plug the healthcare funding gap in Ebola affected countries of Sierra Leone, Liberia, Guinea and Guinea Bissau. “Africa is hemorrhaging billions of dollars because multinational companies are cheating African governments out of vital revenues by not paying their fair share in taxes.

If this tax revenue were invested in education and healthcare, societies and economies would further flourish across the continent,” Winnie Byanyima, Oxfam International’s Executive Director says. Byanyima added, “African leaders must not sit by while international tax reforms are agreed which give multinational companies free reign to sidestep their tax obligations in Africa.


In 2012, the last year of recorded data, developing countries received a total of $1.3tn, including all aid, investment, and income from abroad. But that same year some $3.3tn flowed out of them. In other words, developing countries sent $2tn more to the rest of the world than they received. If we look at all years since 1980, these net outflows add up to an eye-popping total of $16.3tn – that’s how much money has been drained out of the global south over the past few decades. To get a sense for the scale of this, $16.3tn is roughly the GDP of the United States

Your report on mining was written by anti-mining activists hence it is a fallacy ab initio. Secondly, tax avoidance in itself is not tax evasion and is not a crime. Tax avoidance is aggresively pursued by any responsible business as part of their fiduciary responsibility to shareholders. It is said that tax avoidance is a national sport in all countries.

Mama yangu, nilipojaribu kukuelimisha nilisema kuna uwezekano hautaweza kunielewa, na kweli imekuwa hivyo. Mimi naachana na wewe nikiwa na moyo msafi, angalau nimejaribu.
 
Watulie sindano za moto ziingie. Asiemjua Chenge au Werema ni nani na upumbavu wao wa kutuua kiuchumi. Mbafu zao
 
Do you even know who you are ?

Kwanza ili nijue najibizana na mtu anayeelewa kweli....

Hebu tuanzie hapa, nipe tafsiri ya swali hili kwa lugha ya Mama yako....

Maana inawezekana tunajadiliana na wanafunzi barubaru wa kidato cha pili ama cha kwanza humu watoto wa makada wa CCM ambao baba zao ndiyo waliotengeneza mifumo ya wizi wa raslimali zetu kwa njia ya mikataba ambao leo wanajifanya wanalia na sisi.... !!!

Wanafiki wakubwa nyie, allah......
 
Your report on mining was written by anti-mining activists hence it is a fallacy ab initio. Secondly, tax avoidance in itself is not tax evasion and is not a crime. Tax avoidance is aggresively pursued by any responsible business as part of their fiduciary responsibility to shareholders. It is said that tax avoidance is a national sport in all countries.

Mama yangu, nilipojaribu kukuelimisha nilisema kuna uwezekano hautaweza kunielewa, na kweli imekuwa hivyo. Mimi naachana na wewe nikiwa na moyo msafi, angalau nimejaribu.


I have copied two reports, one of them from oxfarm, a respected organisation. The report does not say only about tax avoidance o, but also cheating on declaration which is a case on suspected on the said 227 containers at the port. Sasa macontainer yapo bandarini, na Acacia walitengeneza documents zao for export ambazo wamedeclare thamani ya madini yaliyomo kwenye mchanga. For the first time Watanzania wanataka kuhakikisha, kufanya audit tujuwe kama walivyodeclare JE ni kweli? So far imeonekana wataalamu wetu wanasema kuna mali zaidi, basi tungoje ikiwa mambo yataenda mbele zaidi, kuna wataalamu zaidi ambao hopefully hawatapendelea upande wowote watatowa maoni yao. Tusibishane Wakati ushahidi upo bandarini. Let us agree to disagree.
 
Kilicho nishangaza ni kale kasherehe na wasanii kutumbuiza kabla ya makabidhiano ya ile ripoti. Sijui maana yake ilikua nini? Alafu sizonje akipewa maoni ya kitaalam yanayopingana na mawazo yake hua anaona kama anadanganywa. Sasa wacha waendelee kumkabidhi matango pori.
Probably he had his hand in that report. May be he made them increase the number of kgs so that he can get his demised popularity back
 
Mimi nahisi juma maharangwe anataka na yeye 20%yake ndio maana anaweka mikwara hana lolote walopita kabla yake wameshapata
 
Jamani nisameheni, naombeni kujua professional ya change,

Tafiti hupingwa Kwa Tafiti sasa yeye kafanya tafiti gani hadi aje apinge hiyo tafiti? Naona Kuna watu wanamsapot chenge duuh watanzania wengine sijui vichwani mwao kuna vitu gan
Mtaalamu wa sheria,,, degree ya kwanza Harvard University Marekani,,,, mwenyewe kasema kabobea sheria za mikataba hasa petroleum na madini hapo elewa hiyo ni degree ya pili,,,,, pia nikusahihishe tume imefanya uchunguzi na sio utafiti,,,,,,, uchunguzi na utafiti ni vitu viwili tofauti kabisa......
 
Hakika hii Nchi inalaana haiwezekani kila siku bungeni wabunge wanalalama kuhusu madini yanavyotoroshwa na makampuni ya uchimbaji

Leo Raisi kayakamata yasiende kwanza huko ughaibuni hadi pale tutakapojilizisha walewale viongozi waliokuwa wanapiga kelele bungeni wamegeuka na kudai hayo makampuni ni hali yao.

Hili taifa linalaana haiwezekani
Kimtaa waswahili wanasema aombe poo,,,, au kiswahili sanifu aombe maridhiano ya kisiasa na wapinzani,,,,,, tofauti na hivyo tutashangaa mengi sana,,,,,,, humu ndiko Jk ameacha legacy kubwa ya uongozi bora hakupenda makuu aliunganisha nchi kila alipoona kuna viashiria vibaya vya kuvunja umoja wetu kama watanzania,,,,,,, hekima hata mfalme Suleiman aliiomba ili aongoze vyema waisrael,,,,,,,
 
Back
Top Bottom