Chenge: Mimi ni tumbili

Chenge: Mimi ni tumbili

Duh miaka 10 hii ya awamu ya nne Magogoni pamenajisiwa sana kwa kiwango wezi wanajua hakuna mtu anaweza aka wagombeza acha wapige sarafu hata mimi ningekua kisimani awamu hii nisingechota maji bali ningetumbukia kuogela kisimani maana kuniokoa wapo.
 
Mzee wa madili - Mzee wa mipango - Tuhuma zake ni nyingi tu!!
Rada akaramba akaruka viunzi,
Ndege ya Rais akabugia akaruka viunzi
EPA katia ndani akaruka viunzi
ESCROW kasonda!! sasa hapa hatuna uhakika kama ataruka viunzi kama kawaida yake; kama amejiita Tumbiri hilo ni sahihi kabisa maana tumbili anaweza kuruka toka mti mmoja kwenda mwingine - bila kuhitaji daraja wala kivuko - mnyama huyo ni noma!!

Mzee ni noma!! huna mpinzani inji hii.

ipo haja ya kutafuta sanamu tulipake ulimbo tumtege ipo siku tutamnasa tu.
 
Huyo ndo kaleta katiba pendekezwa na marais wakaipokea.huyuhuyu Tumbili !!!akapongezwa Huyo Tumbili .Only in Tanzania ambako viongozi wanaweza kubwatuka ovyo tu na mkulu akavumilia
 
Na imagine Huyo Tumbili angekuwa nchi makini angekuwa Kwenye spot light 24/7 tangu enzi hizo sijawahi kufikiri Kuwa serikali hii ilivyoanza na mbwembwe za Raisi na waziri wake Lowassa ingemaliza kwa Kuwa ya hovyo namna hii kiasi Kwamba mlala hoi anaweza Kuwa na solution ya NINI kifanyike wakati serikali haina hili Wala lile sasa hata Jamaa akiishia sijui tutaanzia wapi kutengeneza mifumo ya nchi yetu make kila angle ni hoi
 
huyu ndo kiboko ya ccm anapiga kila dili ccm hawana uwezo wa kumfanya chochote ndo mwandishi wa katiba ya ccm

Sina ujuzi wa kujua katiba nzuri kikamilifu , ninachofanya ni kuangalia walioiandaa kama wanaaminika, ninapoona kua alieihariri ni Mtu mwenye TUHUMA NYINGI ZA KIFISADI ndipo ninabaki NJIA PANDA
 
Back
Top Bottom