Chigwiyemisi
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 531
- 230
Inasikitisha sana kwa kweli. TZ haijawahi kuwa na rais anayedharaulika kama JK.
Shimo linazibwa muda si mrefu.I....
Ukimwona nguchiro anakufanyia mbwembwe jua yuko karibu na shimo lake.
wahuni sana hawa. yaani wanakwapua fedha za umma af wanajifanya wajanja...ngoja tusubiri facts zaidi kutoka kwa vuta nikuvuteGazeti la leo la Mwananchi limemnukuu Mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge akijiita tumbili. Chenge alikuwa akizungumzia kuhusika kwake kwenye suala la Escrow na uwepo wa taarifa za kuachia ngazi kwake kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge.
Akikanusha kuachia ngazi,Chenge alijiita tumbili kwa kusema: "Mimi ni tumbili. Na hata hili nitaliruka". Chenge amekana kuhusika kwa lolote kwenye maovu ya Escrow.Hata Ngeleja naye amekanusha kujiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge.
wahuni sana hawa. yaani wanakwapua fedha za umma af wanajifanya wajanja...ngoja tusubiri facts zaidi kutoka kwa vuta nikuvute
Kwa hiyo ameota mkia au?Gazeti la leo la Mwananchi limemnukuu Mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge akijiita tumbili. Chenge alikuwa akizungumzia kuhusika kwake kwenye suala la Escrow na uwepo wa taarifa za kuachia ngazi kwake kama Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge.
Akikanusha kuachia ngazi,Chenge alijiita tumbili kwa kusema: "Mimi ni tumbili. Na hata hili nitaliruka". Chenge amekana kuhusika kwa lolote kwenye maovu ya Escrow.Hata Ngeleja naye amekanusha kujiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge.
Anajisifu si kwamba hajafanya maovu, bali kwamba anafanya maovu na uwezo mkubwa wa kuyaruka anao.
Mafioso.
Mafioso.
Ni wazi ana mbipu Kikwete!Ni Nchi hii pekee ambapo wezi wa mali za umma wanaweza kujigamba.
Mzee wa madili - Mzee wa mipango - Tuhuma zake ni nyingi tu!!
Rada akaramba akaruka viunzi,
Ndege ya Rais akabugia akaruka viunzi
EPA katia ndani akaruka viunzi
ESCROW kasonda!! sasa hapa hatuna uhakika kama ataruka viunzi kama kawaida yake; kama amejiita Tumbiri hilo ni sahihi kabisa maana tumbili anaweza kuruka toka mti mmoja kwenda mwingine - bila kuhitaji daraja wala kivuko - mnyama huyo ni noma!!
Mzee ni noma!! huna mpinzani inji hii.
Ipo siku miti yote itateleza na asijione genius sana,angeipogeza system inayombeba pamoja na u-mbuta wa watz.
Ukimwona nguchiro anakufanyia mbwembwe jua yuko karibu na shimo lake.
wahuni sana hawa. yaani wanakwapua fedha za umma af wanajifanya wajanja...ngoja tusubiri facts zaidi kutoka kwa vuta nikuvute