Chenge: Mafisadi Wadhibitiwe

Chenge: Mafisadi Wadhibitiwe

Kuanzia leo natangaza rasmi kuwa siijui tafsiri wala maana ya neno fisadi! Ikiwa niliyemdhania kuwa ndiye na yeye ataka mafisadi wadhibitiwe!
 
Du wonders never ends,this world is full of wonders.
 
Ticha kampa mwanafunzi mimba halafu kwenye kesi anamlazimisha dent amtaje aliyempachuka hiyo mimba huku akimminyia jicho kwamba usinitaje! Hawa magamba wanatuzuga tu!
 
chenge alishatamka kuwa Mwenye ushahidi juu ya ufisadi wa chenge apeleke mahakamani, mbona twalalama tuu mitandaoni?

- If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor
 
Pengine wanajaribu kutuambia hata wao wakifa kesho bila ya mbinu sahihi za kuzuia ufisadi, wizi utakuwepo tu na wao ni product of circumstances where greedy is not monitered nor punished because of excessive powers somewhere that can block investigations and protect the accused with ease.

No wonder he is asking for a tough body that can not be influenced by anybody and it makes sense, in another words for checks to work reduce the power of the president and make him accountable too.

Si hata mwizi anaweza kukushauri usipofanya hivi ingawa mimi nimeshiba hila bado unampa nafasi mwingine aje kukuibia tena.
 
Huyu mzee wa vijisenti ana kichaa.!!?? mi mbona simsomi kwa kauli hii. Aliisema mbele ya kamati au alituma ujumbe wa simu kwa kamati ya katiba.
 
Basi watajane ili wanyongwe.... Who cares if they all get hanged.

........


Utamu ndo uko hapo sasa. Jakaya siku zake zinakaribia, mawaziri wake wote watamruka kutokana na wizi na udhaifu wake.
 
nina orodha ya wauza dawa za kulevya_jk ------
 
hawa watuu wanachekesha sanaa... lowassa kasema katiba itoe maana ya Rushwa, huyu mbulula mwingine anataka tume ya maadili ipewe meno.. ivi mnatuona wajinga au???
 
Duh hii kali ni sawa JAMBAZI sugu litoe tamko majambizi yote yanyongwe mpaka kufa.
 
Ana maana kwamba kama yy anatajwa katika ufisadi na hajachukuliwa hatua ina maana tasisi husika hazina meno na ametaka katiba mpya iwape meno.hajakosea...
 
tz vijimambo haviishi
sijui chenge ana define vp "wala rushwa"
 
Kwa maana hiyo baada ya hapo,yeye awe wa kwanza kuadhibiwa na anyongwe hadi afeeeeeeeee

  • 😱hwell:
 
Back
Top Bottom