mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
Hata mi naona Mramba aachiwe maana yeye anavijisenti kama Chenge... Kama kuna wabongo wana dola million 90 na hawashtakiwi hivyo vijisenti vya Mramba havina thamani bora aachiwe tu.
watanzania tusipumbazwe, kikwete alisha sema Mramba ni safi, Lowasa ni safi, Rostam ni safi, Chenge safi..sasa basi kama majaji wameteuliwa na kikwete na wanailinda serikali iliyoko madarakani subirini maajabu..