Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,594
CHENGE kauzu kweli kweli!
Niliwahi kuandika humu kuwa, vigezo vya kuwa kada mzuri wa Ccm ni kutokuwa na aibu,kuwa na uwezo wa kutetea uongo uonekane ni ukweli na ya mwisho mwisho uwe mnafiki.Hivi watu wengine hawana hata chembe ya aibu???!
Hebu rudia vizuri, unasema chenge amekemea ufisadi?
Duh haya fisadi mkuu
Inawezekana neno ufisadi limeanza kupoteza màana yake. Shetani akimshughulikia Shetani mwenzake ufalme wake hautaweza kusimama kwa kuwa utafitinika.
Haaahaaaa, mzee wa vijisenti ni hatareeee
Niliwahi kuandika humu kuwa, vigezo vya kuwa kada mzuri wa Ccm ni kutokuwa na aibu,kuwa na uwezo wa kutetea uongo uonekane ni ukweli na ya mwisho mwisho uwe mnafiki.
Huyu naye ameng'ang'ana na hayo mavideo yake
Yuko na mwingine huwa analeta stori za Membe na Gadafi ukweli ht habari ikiwa nzuri na ya ukweli ukiwa unairudiarudia inakosa maana ni upuuzi.Huyu naye ameng'ang'ana na hayo mavideo yake