The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,303
- 3,522
Hivi watu wengine hawana hata chembe ya aibu???!
H[emoji2]h [emoji1]h [emoji3] ,,,, unaweza usiamini, kama maigizo vile!!!Hebu rudia vizuri, unasema chenge amekemea ufisadi?
Inawezekana neno ufisadi limeanza kupoteza màana yake. Shetani akimshughulikia Shetani mwenzake ufalme wake hautaweza kusimama kwa kuwa utafitinika.Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.
Chanzo: Raia Tanzania