Nimeupdate jibu ni 19, sikuona ile alama ya kuzidisha nilijua jumlisha. Sasa kuna mtu umemwambia hata 19 ni wrong. We kijana unatuchezea wewe, hapo magazijuto lazima iapply
Picha ya kwanza 3 + 3 + 3 = 9
Picha ya pili 3 + 5 + 5 = 13
Picha ya tatu 5 - 4 = 1
Picha ya nne 4 + 5 x 3 = 19
Una explanation tofauti?