Napenda sana chemsha bongo za namna hii. Hapo kwenye rangi nyekundu, umejuaje huo ukubwa kwamba ni mara moja na nusu japo ni kweli kichwa kimoja ni kikubwa kuliko kingine? Kwanini kisiwe kikubwa mara 2 au 2 na 1/2? Na pale mwanzo onyesha basi hiyo 3 umeipataje!