CHEMSHA UBONGO: Kitu gani hakipo sawa kwenye picha hii??

CHEMSHA UBONGO: Kitu gani hakipo sawa kwenye picha hii??

1-Paka yupo kwenye nyumba ya ndege
2-Picha imegeuzwa chini juu
3-Miwani ya huyo dogo inatofautiana size ya lensi
4-birika inamimina chai pasipo kikombe chini
5-lile jiko la moto ni la umeme ila ule unaotoka ni moto wa kuni
6-kile kioo inaonekana kimemiss mshikio mmoja
7-meza karibu na baba haina mguu mmoja
8- baba(or whoever he is) anasoma gazeti juu chini
9-binti anakoroga chai na kisu badala ya kijiko
10-Anayekula mkate slace(slesi) hazilingani
11-Mtoto anaupa mdoli chakula
12-Mshumaa umekuwa connected na umeme

nimemaliza. weka lingine.
birika halina mshikio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom