Chemsha bongo!!

Ngoja tumalize kupika pilau tukishiba akili itakuja
 
mkuu, hizo zote ni odd numbers. Unaweza jumlisha namba mbili odd (witiri) ukapata even (shufwa). Lakini huwezi jumlisha namba tatu odd ukapata even. Ni hayo tu. Otherwise nakutakia pilau njema.

three odd numbers can never sum up to an even number... hisabati rahisi sana ya darasa la nne.....

Summing an odd number of odd digits can never result to an even number.

Wakuu jibu LIPO, umiza akili kidogo
 
Summation of 3 odd numbers can never make an even number. But can you think outside the box? The Answer is you can make using not base 10 but using other base.....Number yeyote kama haijaandikwa basi ipo kwenye base 10 by default.

Kwahiyo 1 ni sawa na 10 Base 10

2 ni sawa na 9 Base 3

Kwahiyo kibox cha kwanza nitaweka [9 Base 3]+[13]+[15] = 30
 

Which is equivalent to 2+11+15 = 28 !!!!

Kama utatumia logarithms...inabidi utafute combination inayotakiwa.

Labda log(3)9 + 13 + 15 = 2+13+15 == 30.
 
Which is equivalent to 2+11+15 = 28 !!!!

Kama utatumia logarithms...inabidi utafute combination inayotakiwa.

Labda log(3)9 + 13 + 15 = 2+13+15 == 30.

Mkuu hizi number zina mambo mengi sana:

Kuna Binary Number Hizi zipo kwenye Base 2 (Hii ndio Lugha ya Computer yani ni 0 na 1 tu)
Kuna Decimal Number hizi zipo kwenye Base 10 (Hizi ndio by Default tunatumia)
Kuna Hexadecimal Number hizi zipo kwenye base 16. (Hizi zinatumika kwenye server na switch).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…