Naomba kila aseme atafanyaje kuchukua hizi pesa NYUMA YA HUO MLANGO KUNA DOLLAR BILLION 15.. UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUINGIA KWA KUPITIA HUO MLANGO... KAMA NDO WEWE UTAFANYAJE????
(
Kwan hili nalo ni la kuumiza kichwa? Sangoma wamejaa kinoma....hapo haichukui dakika anawabadili kuwa sungura au kuku kwa muda then unachukua B zako then yeye unamuachia hao nyoka for special use. SOLVED!