Chemsha bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha bongo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mbweta, Mar 18, 2011.

 1. m

  mbweta JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nitajie gundi ya maji huijuayo? Jib ntatoa within next 30min.
   
 2. m

  mbweta JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Oh no 1
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Zipo nyingi. Ngoja niende stationary.
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Sijui jibu ila hicho kiswahili ndugu mmmmhhh
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Hivi 30 minutes bado!!
   
 6. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Gundi ya maji!!! :doh: mbona zinapatikana miingi tuu kutoka china na sehemu mbali mbali duniani..halafu tumia kiswahili basi kinachoeleweka mheshimiwa
   
 7. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hamna Gundi ya Maji duniani.Zote zinaitwa Gundi na sio Gundi za maji.Kiswahili fasaha hamna kabisa gundi ya Maji.Gundi zote ni za kiminika na sio za maji
   
 8. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Super glue
   
 9. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kumbe sio peke yangu ninayejiuliza hilo swali
   
 10. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  gundi ya maji? Haiwezekani kuyagundisha maji. Hukuhitaji 30mins bali 30years kutupa jibu.
   
 11. m

  mbweta JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jaman polen nliweka ile cku ndan ya 30min ckupata jib nkauliza vp? Jib ni friji ndo linagandisha maji hizo nyngne mtajua zinagundisha nin
   
 12. m

  mbweta JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  pole si wajua kiswahili tunahisi twakiweza ila tuna mistake katika v2 vidogovidogo
   
 13. m

  mbweta JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  poleni nliweka ila kwa cku mbili hakuna mtu aliye weza changia nkijasahau
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo pale kileleni mlima kilimanjaro kuna ma-friji eeeeeh.......kumbeeee.....:lol:
   
 15. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  isee, lakin friji si gundi, ni mashine nadhani
   
 16. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Hahahahahaha dah! Inawezekana mkuu tena mafriji yenyewe ni ya LG
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sio kila frigi inagandisha maji, kuna frigi za kuifadhi damu tutaziitaje! hahahaha
   
 18. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nanihiiiiiiiiiiii, nini tena !!! aaaaaaahh ngoja niende kwa da Dena nikamnongoneze jibu alitaje!!
   
 19. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  msaada wa tofauti ya kugundisha na kugandisha pls, maana me naona friji inagandisha ila gundi inagundisha
   
 20. d

  dorry Senior Member

  #20
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mapopompo tuko wengi, lakini kwa kiswazi uchwara changu "Kugundisha" haipo kitaalamu bali akina sisi ndo tumeitengeneza (tumeweka viambishi aka affixation) kutoka neno gundi, kwa hiyo mtu anaposema kugundisha ana maana kuwa gundi imetumika. Lakini neno sahihi nadhani ni kugandisha ikiwa na intension ya kuhold together, jenga tu taswira ni ngumu kueleza. Lakini ni mtazamo wangu tu msininukuu vibaya.
   
Loading...