Chemsha bongo yangu hii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,858
30,259
Kinamama wafanyabiashara ya mbogamboga wakifanya shughuli hiyo eneo la ?, njia panda ya ? Dar es Salaam jana. Fungu moja huuzwa kati ya sh. 200 hadi 300.

<tbody>
</tbody>

Haya tena wabongo nawapeni chemsha bongo kisia hapo ni eneo gani?
 

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,676
4,300
Nilipita pale kwenye ma flat ya URAFIKI Shekilango wanalima sana bustani pale lkn hayo maji wanayomwagilia nadhani ni maji ya sewage maana ni MEUSi yananuka balaa. Mh hizi mboga za mjini basi tu mungu anatunusuru
 

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,858
30,259
Nilipita pale kwenye ma flat ya URAFIKI Shekilango wanalima sana bustani pale lkn hayo maji wanayomwagilia nadhani ni maji ya sewage maana ni MEUSi yananuka balaa. Mh hizi mboga za mjini basi tu mungu anatunusuru
Waswahili husema ukimchunguza kuku? Hutaweza kumla wewe kula tu madamu hakidhuru kula
 

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,858
30,259
Kuna rafiki yangu kanambia ni kitunda, njia panda ya kivule... lol I hope hajanidanganya...
hahahhahahh Umeshinda kweli wewe chemsha bongo yangu Mshindi ni wewe

majibu sahihi ni hii hapa chini picha
Kinamama wafanyabiashara ya mbogamboga wakifanya shughuli hiyo eneo la Kitunda, njia panda ya Kivule, Dar es Salaam jana. Fungu moja huuzwa kati ya sh. 200 hadi 300.<tbody>
</tbody>


Chanzo MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:
 

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,858
30,259
dar-es-salaam-protea-hotel-oysterbay-dar-es-salaam_1_M.jpg
DaresSalaam372.jpg
This mother and her four daughters must fetch 20 buckets of water a day for their household in Dar es Salaam. Photograph: Gideon Mendel/ActionAid

haya natowa ingine hapo ni wapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom