Chemsha Bongo WanaJF

Ndalo nawe, mi napita tuu
 
Last edited by a moderator:
uumbaji wa MUNGU jinsi alivyoumba ulimwengu na kumpa Adam bustani na kuja kumletea adam mke na mke akamtega kwa kula tunda na kisha waondolewa bustanini, wakazaa watt 2 wa kwanza na kisha ulimwengu ukaharibika amani ikatoweka nchi na mataifa yaasimamisha falme zao nazo zikadondoshwa.
 
Ndallo naomba zawadi yangu sasa hivi.
 
Last edited by a moderator:
dah bahati mbaya sinaga bahati ya kuziona picha za huyu mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…