Transducer
Member
- Sep 10, 2012
- 49
- 3
Nguo ununue wewe,
Pesa ukopeshwe wewe afu Maswali uje utuulize sisi.
Hata hvyo hli swali liko humu kitambo sana mpenzi.
Tena nililileta mie ha ha madam acha mashushu ya uso
Kumbe ulileta wewe Dena Amsi.
Haya hebu mjibu fasta fumbo lake ajue kuwa humu kuna akina 'Man At Work'
ila mkanye siku ingine akiipenda nguo,ajichange ili asikope.
Ona sasa sh 100/= kapoteza anahaha.
Ha ha ha atafute mwenye wala simjibu ha ha
cct na br ni majina ya NGO's, Banks au vituo vya televisheni?
Shost wangu jamani.
Yani ka' machale yalinicheza.
Nikasema hii mbona kama ilishawahi kuwepo humu JF?
BTW Catherine,
Maisha Ndo Haya..!!!
LOOOOOLEST...!!!!
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh heeee. .eee...e.e eee halooooo oooo ooo oo o....
Unacheka umeona aibu wamekushushua au unacheka nini sasa?????
Unacheka umeona aibu wamekushushua au unacheka nini sasa?????
Please stop copying and pasting smthng frm smbdy, especially from my best and MSIRI WANGU Dena Amsi. From now on STOP IT... Na hii tabia ife kabisa na isirudiwe na member mwingine, mpya au mgeni. GREAT THINKERS WANA KUMBUKUMBU BHANA.KHAAAA. PTUUUUU