Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 148
- 259
Habari za leo jf-members.....
naombeni majibu yenu,
Mwalimu aliuliza swali "laiti kesho ingekuwa jana basi leo ingekuwa ijumaa " je, mwalimu aliuliza swali siku gani?