Chemsha bongo MMU....

hahahaaa ... AD thanks ... umenichekesha na umenikumbusha mbali kidogo ... ujanani kuna watu walitafunika enzi hizo sababu hii ... ilikuwa hainiingii akili but now naelewa ...
Hahahaha .Nashukuru kusikia sasa waelewaNa sisi tunapenda sauti za kiume haswa mmhh
 
Kumbe na wewe unakimiss kile kikundi cha Agape yaani mie ndo kabisa yaani hata mmoja haonekani
Dahhh nimemiss ile mbaya..Mtu unapost poster 150 kwa siku bilaHata kujua hamna pressure ukitoka humuUnacheka tu.. nilichokuwa napenda zaidi ni Hakuna kulala lolz
 
Haha haaa Afro Densi. Ndio maana wanawake wengi wanaogopa kuwa mwanaume mwenye deep voice is likely to cheat on them?
Mmmhhh realy??Nijuacho kuna kitu Special kwa Wanaume wenye "deep" voice ..
 
Kwahiyo mabubu na wenyevigugumizi ndo imekula kwao, siyo?
Mmmhhhkuna mababu na vigugumiziWanasauti haswa za kiume..Na hii ni asilimia 40 tu..Kwa hiyo kuna wengine hawajali..Asanteeeee babu mzuri.
 
what about lafudhi?..nachukia mwanaume mwenye lafudhi ya kichaga hadi basi.. samahanini wachaga msinitoe macho...
 
what about lafudhi?..nachukia mwanaume mwenye lafudhi ya kichaga hadi basi.. samahanini wachaga msinitoe macho...
Mmhhhhhuko sijui kwa kweli ila Nadhani ni chaguo la mtu ikija kwenye accents.Binafsi accent ya watu wa Dar na Pwani Napenda asana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom