Ndege 99 na mzee(binadam) mmoja jumla viumbe mia!Daa kwahyo na mzee nae alikuwa ndege? Mana kuna sehem imesema na wewe ukija jumla ndo mia. Anyway jib zuri.
Kuna mzee mmoja alikuta kundi kubwa la ndege,akalisalimia kwa kusema,shikamooni ndege mia,ndege walipaza sauti wakisema sisi sio ndege mia,bali waje kama sisi,waje nusu yetu,waje pia robo yetu na wewe mwenyewe ili tutimie mia.Je kundi hilo la ndege lilikua na ndege wangapi?
good attempt mkuu,ila umekosea kidogo tu,walikuwepo ndege(y),wakaja kama wao(y),wakaja nusu yao(y/2),wakaja robo yao(y/4),hence equation itakuwa y plus y plus y/2 plus y/4=99,you can carry on buddy!y+1/2y+1/4y+1 = 100
7/4y=99
7y=99*4
y=(99*4)/7
ndege 56.
nimeacha desimali kwa kuwa hakuna ndege desimali.
kama nimekosa, sikubali.
good attempt mkuu,ila umekosea kidogo tu,walikuwepo ndege(y),wakaja kama wao(y),wakaja nusu yao(y/2),wakaja robo yao(y/4),hence equation itakuwa y plus y plus y/2 plus y/4=99,you can carry on buddy!
y+1/2y+1/4y+1 = 100
7/4y=99
7y=99*4
y=(99*4)/7
ndege 56.
nimeacha desimali kwa kuwa hakuna ndege desimali.
kama nimekosa, sikubali.
good attempt mkuu,ila umekosea kidogo tu,walikuwepo ndege(y),wakaja kama wao(y),wakaja nusu yao(y/2),wakaja robo yao(y/4),hence equation itakuwa y plus y plus y/2 plus y/4=99,you can carry on buddy!
Jumla kuu ya mwisho itakuwa ndege 99 na mzee mmoja.issue iliyopo ni kutafuta waliokuwepo mwanzo kama ifuatavyo;xplus xplus x/2plus x/4=99,then after simplifying;8xplus 2xplus x=396;after solving,the value of x=36 ambayo ndo idadi ya ndege aliyoikuta babu.proof:walikuwepo 36 wakaja 36,wakaja 18 na wakaja 9 pamoja na babu wakaunda ndege 99 plus babu,napokea challenge.