Chemsha Bongo.....Kwa Genius only!


nipe yote

nipe yote

Senior Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
105
Likes
132
Points
60
Age
21
nipe yote

nipe yote

Senior Member
Joined Jan 17, 2017
105 132 60
Mbon haichemshi bongo, too simple
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,050
Likes
11,374
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,050 11,374 280
Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani???
Hapo inategemea,
Maana kwa muda wote huo toka miaka 6-70 (imepita miaka 64) huyo dada yako bado yuko hai tu Mungu hajamchukua??
 
B

Blue Iron

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Messages
460
Likes
273
Points
80
B

Blue Iron

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2017
460 273 80
Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani???
ulipokuwa na miaka
6 yeye alikuwa na 3
kwa kuwa tofauti yenu ni 3
ukiwa na 70 yeye atakuwa na 67 kama yu hai
 
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
6,059
Likes
8,873
Points
280
Age
26
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
6,059 8,873 280
Dada yako alafu ana nusu ya miaka yako? Huyo ni mdogo wako.
 
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,834
Likes
1,113
Points
280
Age
31
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,834 1,113 280
Hapo inategemea,
Maana kwa muda wote huo toka miaka 6-70 (imepita miaka 64) huyo dada yako bado yuko hai tu Mungu hajamchukua??
 

Forum statistics

Threads 1,251,868
Members 481,917
Posts 29,788,450