Chemsha bongo kidogo hapa

Chemsha bongo kidogo hapa

Mimi ntakuwa refa
View attachment 1006213

Sent using Jamii Forums mobile app

Finally nitatoa jibu na maelezo . usiigilizie majibu .
************************************

UPDATE

Hili swali linapima umakini wa kuangalia vitu na maarifa kidogo ya hisabati tu

Tom = 10 hicho kama kingedere
Jery = 5 Huyo ka sungura
Strawbery = 2

Sasa njoo hapo chini utagundua
Jery kashika strawbery mbili moja mkono huu ,moja mkono ule kumbe jumla Jery ambaye ni tano na ameshikiria strawbery mbili anatengeneza nambari 9

Tuje kwa swali hapo chini

Ni Tom (10) + jery na strawbery zake mbili (9) × strawbery moja (2)

10 + 9 × 2 = 28 dis is answer

Only 4 people wamepata congrotulation

THREAD CLOSED utakuwa umejaji umakini wako

OVA
jery ni kama panya na tom paka. na ni tom ndiye aliyeshika matunda hapo.
 
Mimi ntakuwa refa
View attachment 1006213

Sent using Jamii Forums mobile app

Finally nitatoa jibu na maelezo . usiigilizie majibu .
************************************

UPDATE

Hili swali linapima umakini wa kuangalia vitu na maarifa kidogo ya hisabati tu

Tom = 10 hicho kama kingedere
Jery = 5 Huyo ka sungura
Strawbery = 2

Sasa njoo hapo chini utagundua
Jery kashika strawbery mbili moja mkono huu ,moja mkono ule kumbe jumla Jery ambaye ni tano na ameshikiria strawbery mbili anatengeneza nambari 9

Tuje kwa swali hapo chini

Ni Tom (10) + jery na strawbery zake mbili (9) × strawbery moja (2)

10 + 9 × 2 = 28 dis is answer

Only 4 people wamepata congrotulation

THREAD CLOSED utakuwa umejaji umakini wako

OVA
Siku nyingine unipe na zawadi au unitangaze kama wanavyofanya kwa mwanafunzi bora wa Form I̅V̅ ̅

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
jana ulisema 28 siyo jibu leo umesema ni jibu
1548687321994.png
 
Back
Top Bottom