super black Boy Senior Member Joined Oct 15, 2019 Posts 135 Reaction score 169 Nov 4, 2019 #1 Nina mayai 10, nimepasua matatu, nimekaanga matatu na nimekula matatu. Je nitakuwa nimebakiwa na mayai mangapi?
Nina mayai 10, nimepasua matatu, nimekaanga matatu na nimekula matatu. Je nitakuwa nimebakiwa na mayai mangapi?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,261 Nov 4, 2019 #3 ni mayai ya kiumbe gani?
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,499 Reaction score 27,782 Nov 4, 2019 #4 Saba hapo
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,761 Reaction score 126,663 Nov 4, 2019 #5 Tupia picha tuhesabu yaliyobaki
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 6,116 Reaction score 6,873 Nov 4, 2019 #6 Una mayai mawili tu mkuu hayo 10 utakuwa umeyaiba!
mizy gajo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 801 Reaction score 887 Nov 5, 2019 #7 Una mayai kweli au unaleta siasa hapaa... super black Boy said: Nina mayai 10, nimepasua matatu, nimekaanga matatu na nimekula matatu. Je nitakuwa nimebakiwa na mayai mangapi? Click to expand...
Una mayai kweli au unaleta siasa hapaa... super black Boy said: Nina mayai 10, nimepasua matatu, nimekaanga matatu na nimekula matatu. Je nitakuwa nimebakiwa na mayai mangapi? Click to expand...
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,695 Reaction score 1,771 Nov 6, 2019 #9 Mayai ma 4
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,970 Reaction score 13,427 Nov 7, 2019 #10 Hongera mkuu kuna watu wanaringa eti wanasema hawawezi kuvunja mayai kwa kuwa ni mazito! Nalog off
njoo kwetu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 801 Reaction score 1,801 Nov 7, 2019 #11 Uliwezaje kukaanga bila ya jiko na moto.... super black Boy said: Nina mayai 10, nimepasua matatu, nimekaanga matatu na nimekula matatu. Je nitakuwa nimebakiwa na mayai mangapi? Click to expand...
Uliwezaje kukaanga bila ya jiko na moto.... super black Boy said: Nina mayai 10, nimepasua matatu, nimekaanga matatu na nimekula matatu. Je nitakuwa nimebakiwa na mayai mangapi? Click to expand...