Chemsha Bongo II

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Sijui kama hii imeshakuja hapa. Ikiwa tayari puuza.
Mama Sara ana watoto wanne wanne wote wasichana: Mnana, Mnene, Mnini na ....... (Taja jina la msichana wa nne).
 
Ungeongeza na "Rated 2 yrs".

Swali na kitoto hilo afu unauliza watu wenye nywele kotekote.

Ushasema mama sara afu unauliza tena.
 
Huyo atakuwa Sara, ila jina la nyumbani wanamwita Mnono...
 
Inawezekana kabisa akawa na jina lolote; Mama Anna Mkapa ni mamake Anna? Mama Maria Nyerere ni mamake Maria? .... niendelee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…