Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
MAISHA BORA KWA KILA MDANGANYIKA NA MZANZIBARA.......................
Mkuu MziziMkavu hapa ni Julius Nyerere International Airport!
Mkuu Asprin Tanzania Hakuna Serikali kuna Siri-kali tu huko nyumbnai kwetu Viongozi wetu wengi wao ni Mafisadi sasa kutakuwa kweli na maendeleo?Ndo uwanja pekee tulio nao Bongo tunaojivunia nao, ambao ukilinganisha na viwanja vya wenzetu huu unakuwa uwanja wa kata..... Hii nchi bana.
Mkuu, MziziMkavu, haya maneno yameandikwa airport au mahali gani? Aibu kubwa hii, hivi ina maana huo uwanja hauna uongozi? Haiwezekani kufuta na kuandika upya? Kweli hii nchi inaongozwa na mazuzu! Unawezaje kuwa manaja wa uwanja halafu ukavumilia kuyaona haya?
alafu mambo yetu yanavyowekwa kisiasa, jiwe la msingi linapewa umuhimu zaidi hata na mambo ya msingi mradi tu isomeke 'imefunguliwa na mh. fulani'
Hii ni Airport au nyumba ya kulala wageni?
[QUOTE=Lukolo;5866692]Mkuu, MziziMkavu, haya maneno yameandikwa airport au mahali gani? Aibu kubwa hii, hivi ina maana huo uwanja hauna uongozi? Haiwezekani kufuta na kuandika upya? Kweli hii nchi inaongozwa na mazuzu! Unawezaje kuwa manaja wa uwanja halafu ukavumilia kuyaona haya?
mkuu Lukolo, na MziziMkavu, naona wote tuna matatizo sawa, tunazidiana idadi ya maneno yaliyoharibiwa.
Mkuu Lukolo Hayo maneno yapo kwenye Airport ya mjini kigoma hayo ndio Maendeleo ya Tanzania yetu aibu tupu hata viongozi wetu wanayafumbia macho hayo maneno kama vile vipofu hawaoni kuwa ni aibu kwa nchi yetu wanapokuja wageni?Mkuu, MziziMkavu, haya maneno yameandikwa airport au mahali gani? Aibu kubwa hii, hivi ina maana huo uwanja hauna uongozi? Haiwezekani kufuta na kuandika upya? Kweli hii nchi inaongozwa na mazuzu! Unawezaje kuwa manaja wa uwanja halafu ukavumilia kuyaona haya?