Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Muuza matunda alikuwa na machungwa, peas na maembe. Baada ya kuuza baadhi, zilibaki peas 6 kwa kila machungwa 5 yaliyobaki na machungwa 7 kwa kila maembe 3 yaliyobaki. Aliuza machungwa 168. Idadi ya peas na maembe aliyouza zililingana. Jumla ya peas na maembe yaliyobaki ni 456.
Je alikuwa na machungwa mangapi mwanzoni?
Je alikuwa na machungwa mangapi mwanzoni?