Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 215
9700 + 200 = 9900 AND NOT 9800. Wewe ndio unatakiwa kuchemsha bongo yako!!!1Nguo inauzwa sh. 10,000.00 wewe huna pesa ukaamua kukopa kwa dada sh. 5,000.00 na kwa kaka sh. 5,000.00 ukapata sh. 10,000.00. Ukanunua ile nguo kwa sh. 9,700.00 na ukarudishiwa sh. 300.00, Ukaamua kupunguza deni, ukatoa sh. 100.00 kwa dada na sh. 100.00 kwa kaka. ukabaki na sh. 100.00. Hivyo ukawa na deni la sh. 4,900.00 kwa dada na sh. 4,900.00 kwa kaka, jumla sh 9,800.00, ukiongeza na ile sh. 100.00 yako, inakuwa sh. 9,900.00. Je sh. 100.00 imekwenda wapi?
Nawasilisha.
Hapo easy sana mkuu!Kununua nguo shilingi 9700 maana yake ni kwamba ni kama umechukua tsh 4850 kutoka kwa hao ndugu zako(Yaani 4850 kutoka kwa dada na 4850 kutoka kwa kaka) ambapo katika elfu tano ya kila mmoja inapungua tsh 150 na hivyo mia hamsini kutoka kwa dada na kaka inaleta tsh 300 hivyo hakuna tsh 100 inayopumgua.
9700 + 200 = 9900 AND NOT 9800. Wewe ndio unatakiwa kuchemsha bongo
Kwani ugomvi Mkuu?
Tatizo lako hapo ni accounting error,huwezi chukua deni ukajumlisha na pesa ya mkononi,maana 100 umebakiwa nayo,9800 ni deni.labda iwe hivi (-9800)+100=(-9700)Nguo inauzwa sh. 10,000.00 wewe huna pesa ukaamua kukopa kwa dada sh. 5,000.00 na kwa kaka sh. 5,000.00 ukapata sh. 10,000.00. Ukanunua ile nguo kwa sh. 9,700.00 na ukarudishiwa sh. 300.00, Ukaamua kupunguza deni, ukatoa sh. 100.00 kwa dada na sh. 100.00 kwa kaka. ukabaki na sh. 100.00. Hivyo ukawa na deni la sh. 4,900.00 kwa dada na sh. 4,900.00 kwa kaka, jumla sh 9,800.00, ukiongeza na ile sh. 100.00 yako, inakuwa sh. 9,900.00. Je sh. 100.00 imekwenda wapi?
Nawasilisha.
nenda darasani wangu
9700/2=4850(dada na kaka)
100+4850=4950 kwa kila mmoja(jumla ni 9900)
100 aliyobaki nayo+9900=10000
Na hili ndilo jibu sahihi ambalo hata mimi nililitoa lakini naona Dreamliner sijui haelewi kitu gani hapo!!