kujibu hoja lazima maa Jamii sio yako wala ukoo wako, wee huna kazi kazi kushinda humu? Eti kushindana kujibishana na sisi mko wangapi? ikiwa mnasema kudandia treni nayi mnadandia nini ndege
Ni ya baba yangu ,tupo wengi kama nyie mlivyo wengiiiii,kudandia umedandia vigodoro babuuuuu
Mi hata sielewi kujibizana hapa kunatoka wapi.
Kuna uhuru wa mtu ku post kwa lugha anayochagua yeye as long as hatukani mtu.
Sasa nini kinaendelea hapa?
Dude just drop it.
You made a good point, but tunakoelekea it just seems like a futile war of words.
Anza matusi name nisije kubomokea kama jamaa alivyokufanyia kumbe unastahili
Likizo nzuri watu hadi wanaziomba wenyeweee halaf bila hata malipo uwiiii
Anza weweee halaf mi ntafatia astahili asistahili mtajidabokeii wenyewe, polee njoo kivingine tenaa
Ulishaanza nitie hasra uone ntakuja kuwa banned lakini message sent sintobakiza hata tone maana naona unajifanya mwamba na mjuvi
mi naulizia tu jamani kama kuna moderators wa kike humu ndani...! lols!!
ni hilo tu!!!
aisee...! kuleni ujana kwa step wadau...! ndani ya wiki mbili tu watu watatu wame-RIP mbele yangu! hahahaaaa!!
tukananeni kisomi...! sio kwa kizaramo na kunyoosheana vidole..
malkia asingekuja tu huku, mi naona ksnichanganya tu..
mi sijaelewa hata.
Umesema?
Wakati hatujashikiwa bunduki tusome!Umeamka lakini??
malkia Eliza, katuletea tafrani... hoja imewekwa mezani, badala ya kujadili mada tunaanza kuponda lugha ilotumika coz hatujaelewa..lol
Umechangia kwa kutoa malalamiko yako.
Umeona ee lakin yaliyotokeaa balaaa basi si ungetafsiri tu labda yasingetokea hayaa
...
mtaji' dabokeii wenyewe...