Jay8 Member Joined May 26, 2017 Posts 40 Reaction score 49 Jun 17, 2017 #1 Habari Tanzania Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania. Page itakua na habari zote muhimu kwa ajili yako mnazi wa chelsea Mawazo yenu ni muhimu kama ilivo support yenu tegemea surprise na event nyingi msimu wa 2017/2018 naomba mnisaidie kushare ujumbe huu kwa wote Inapatikana chelseafc.tanzania Instagram welcome all
Habari Tanzania Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania. Page itakua na habari zote muhimu kwa ajili yako mnazi wa chelsea Mawazo yenu ni muhimu kama ilivo support yenu tegemea surprise na event nyingi msimu wa 2017/2018 naomba mnisaidie kushare ujumbe huu kwa wote Inapatikana chelseafc.tanzania Instagram welcome all
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,672 Jun 19, 2017 #3 Karibu sana JF.............