Community shield(zamani Charity shield) hushindanisha bingwa wa EPL(Man City) na bingwa wa FA(Chelsea)......Hiyo ya mshindi wa kwanza na wa pili ni kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara(mwaka huu watacheza Simba na Azam)...
Pamoja sana mtani.......Msimu wa maumivu na furaha ndo ushaanza hivyo......Mkuu Balantanda habari,naona msimu wetu wa burudani umeanza pamoja saaaana.
Pamoja sana mtani.......Msimu wa maumivu na furaha ndo ushaanza hivyo......
Naona Chelsea washaanza kuelemewa
samiiiiiiiiiiiiir nasriiii
Umeshafika naona haya bwana naona neema imefunguliwa.
dk ya 67 man city 3 chelsea 1