viva chelsea viva cdmmourinho amethibitishia umma kwa kukosa mpinzani na kuwa na uzoefu wa na epl.. Taji la tatu la epl anaipa chelsea mikononi mwake...
Wapinzani wetu mna lipi la kutupondea?...
Mashabiki wa chelsea nina wasiwasi na umri wenu kwenye kushabikia mpira yaani kuchukua ubingwa wa 5 ndo mnajilinganisha na arsenal yenye makombe 13 ya epl? Nyie mjilinganishe na spurs,na city lkn sio man u, liverpool,arsenal,everton wala aston villa nyie bado timu changa

Mourinho amethibitishia umma kwa kukosa mpinzani na kuwa na uzoefu wa na epl.. Taji la tatu la epl anaipa chelsea mikononi mwake...
Wapinzani wetu mna lipi la kutupondea?...
Mourinho amethibitishia umma kwa kukosa mpinzani na kuwa na uzoefu wa na epl.. Taji la tatu la epl anaipa chelsea mikononi mwake...
Wapinzani wetu mna lipi la kutupondea?...
Sorry, hili taji lenu la ngapi litakua?