roselyne1
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 1,365
- 93
kumbe umeshazaa?
mnh mbona unataka nizibia njia mwana wa mwenzio?:embarrassed1:
kumbe umeshazaa?
mnh mbona unataka nizibia njia mwana wa mwenzio?:embarrassed1:
Kwani kuzaa ndiyo kunapunguza prospects? Kuna wanaume wengine wanataka kujua kwamba mwanamke si tasa kabla ya kumuoa
Bridezillas field day.
Kuna mmoja kapanga harusi kabisa February 15 2011, kabla hata ya kupata mchumba.
Ona hapa
Video - Breaking News Videos from CNN.com
CNN's Josh Levs interviews a woman who is planning a big wedding but has not yet found a mate.
Naona Dada yupo serious....hivi kumpata mtu wa kukuoa ni ngumu?
Tatizo si kupata mtu wa kumuoa, kama huyo dada kaenda kwenye dates zaidi ya 50 nafikiri kama nakumbuka sawa, 10 repeat dates.
Tatizo madem wengine wanaona yule mwanamme wa ndoto zao- daktari au lawyer 6 feet 4 tall, muscular, Rhode scholar, mwenye hela mcheshi na ambaye ni muaminifu na si gay - wanaamini kwamba yupo kwa kila mmoja wao.
By the time wanashtuka na kuanza kushusha vikwazo wanakuwa wako in their forties huko.
Waoaji mara nyingine wapo, lakini wengine work in progress, wengine wana potential lakini hawajafika peak katika career zao, sasa kuna kinadada hawataki hizo. Kila mtu anataka superstar.
kwani unanioa ili nizae watoto???kwani si unaweza kuwapata bila kumuoa mtu!,
huku uswahilini kwetu,kwa mwanamke kuzaa bila ndoa ni kujiwekea gundu,:A S shade::smilez:
Nnakuoa tena mamaa?
Taratibu,
Ndoa ni tricky business, trying to institutionalize the uninstitutionable.
ndio ndoa je???
au hutaki kunipa hayo makaratasi...:smilez: