Cheki mpasuo huooo

Cheki mpasuo huooo

Hii ni hatari zaidi!nadhani kuna biashara matangazo hapo!
 
hz itakuwa imetolewa kwenye picha za wakubwa, msilete humu kuna watoto wako likizo, msije kuchafua hali ya hewa nyumbani, maana tunaweza kuanza kuulizwa maswali tutakayoshindwa kujibu wanetu. enyi mliochafuta msituchafue wala kuchafua watoto wenu/wetu
 
Huu ni mpasuo reloaded si unacheki mwenyewe jitu zima linamanua huku halija funga mlango
radhi3.jpg
 
Waliberali hawajapitia huku wamchukue mwanachama wao.
 
Back
Top Bottom